KESI ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine kilo 34.89 inayomkabili aliyekuwa Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, Muharami Sultani na wenzake watano, imeanza kunguruma Mahakama Kuu Divisheni ya ...
Moja ya mambo niliyovutiwa nayo ni maneno ya Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, kudai Ligi ya Tanzania ni dhaifu na haizipi timu changamoto kiasi cha kuweza kupambana kwenye michezo ya kimataifa.