MAPIGANO yamezuka tena kati ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kusini mwa Kivu.
ZAIDI ya wafungwa 100 wa kike walibakwa na kisha kuchomwa moto wakiwa hai wakati wa hali ya machafuko baada ya wafungwa ...
IRAN : WAZIRI wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema nchi yake inaweza kuwa tayari kuzungumza na utawala wa Trump.
MWIGIZAJI wa filamu Aunt Ezekiel, amesema ujio wa taulo za Comfy Mummy, zitakazomfanya kujiamini na kufanya shughuli zake ...
KAMPUNI ya Bolt imezindua rasmi kipengele cha "Trusted Contacts" kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za ...
KAMPUNI ya Bolt imezindua "Trusted Contacts" kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za simu za marafiki.
RAIS Samia Suluhu Hassan, amekitaka Chama cha Mapinduzi kutoruhusu kunyemelewa na wanachama kiburi bali kulinda heshima ya chama.
POLISI nchini Uganda inawashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya benki na ...
Bilionea Mohammed Dewji, ametangaza sarafu ya kwanza ya kidijitali Tanzania $TANZANIA, akilenga kuongeza wigo wa matumizi ya ...
RIYADH:SERIKALI ya Saudi Arabia imesema haitaanzisha uhusiano na Israel hadi taifa la Palestina. Mwanamfalme Mohammed bin ...
MATAMSHI ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu pendekezo la Marekani kuchukua udhibiti wa Gaza yamekosolewa vikali na ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Ferdnand Ndikuriyo ambaye raia wa Burundi, kutumikia kifungo miaka mitatu jela.