IRAN : WAZIRI wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema nchi yake inaweza kuwa tayari kuzungumza na utawala wa Trump.
KAMPUNI ya Bolt imezindua "Trusted Contacts" kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za simu za marafiki.
MWIGIZAJI wa filamu Aunt Ezekiel, amesema ujio wa taulo za Comfy Mummy, zitakazomfanya kujiamini na kufanya shughuli zake ...
Kwa upande wa Meneja Msaidizi wa Mgodi wa Mawe wa Ndolela (Ndolela Quarry) Hilter Ranjiti amesema tangu kuanzishwa kwa mgodi ...
Bilionea Mohammed Dewji, ametangaza sarafu ya kwanza ya kidijitali Tanzania $TANZANIA, akilenga kuongeza wigo wa matumizi ya ...
MATAMSHI ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu pendekezo la Marekani kuchukua udhibiti wa Gaza yamekosolewa vikali na ...
KAMPUNI ya Bolt imezindua rasmi kipengele cha "Trusted Contacts" kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za ...
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Ushirombo iliyopo wilayani Bukombe mkoa wa Geita wameeleza kuguswa na Kampeni ya ...
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amechukua hatua ya kumaliza mzozo kati yake na utawala wa Marekani kuhusu sheria mpya ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Ferdnand Ndikuriyo ambaye raia wa Burundi, kutumikia kifungo miaka mitatu jela.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi-CCM mkoani Kigoma kusimamia kwa karibu utekelezaji wa ...
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam ipo tayari kushirikiana na mamlaka ...